Comments

What they say about TAWOMAComments from stakeholders in relation to Mining Act of 2010 and Mining Policy of 2009
1.   There is a conflict of laws between the mining laws and the land laws. What can be done to remove the conflict of laws. Some small Miners are farmers and it is possible that on your land another person has a right to mine. Also the large miners can engulf in the areas owned by Small miners but not vise versa.
2. Health and Environmental risks
There is dust water is polluted. Small scale miners do not have health protections to health     effects caused by mining sector. What can be done?

3     Small scale miners cannot afford to meet requirements of environment health    assessment impact what can the government do to help these small scale Miners?

4   There is no good relationship between large miners and Small scale Miners; this has led to the demise and more marginalization of the small scale Miners- what can be done under the law?

5     The mining officers should give extra efforts to frequently advise, educate and overseer mining process in the fields. Very few officers exercise this.


      Comments in Swahili
1.   “Mirahaba japo imeongezwa, Serikali haikutumia muda kufikiria imepeleka hii sheria ya 2010 Bungeni kama dharura na imelipua ili kunyamazisha kelele za wanaharakati na Wachimbaji wadogo wadogo”

2.   “Makampuni hayako wazi wanachukua Madini iwe dhahabu au vito, ndege zinatua migodini, Serikali inawawia vigumu kujua kiasi kilichozalishwa wala kuuzwa.Hivyo mirahaba na Ushuru utolewao ni kulingana na watakavyo sema wawekezaji ambao mara nyingi hudanganya”

3.   Serikali haikuwabana wachimbaji wakubwa katika kutoa 1% katika vijiji vinavyozunguka migodini kuendeleza jamii, baadhi ya wachimbaji wakubwa wanadanganya Serikali kuwa wanatoa wakati hawatoi.Mfano Nzega”

10  “S.8(2) of Mining Act inazuia wachimbaji wadogo kuingia ubia.Uchimbaji ni mgumu na nyenzo wanazotumia wachimbaji wadogo wadogo ni duni; bila nguvu ya wawekezaji huyu mchimbaji mdogo anakufa akiwa duni zaidi ya alivyoanza”

11  “Sheria haijaweka mazingira ya kuwawezesha/ endeleza wachimbaji wadogo wadogo zaidi ya kuwakandamiza”


Tupe Maoni yako kuhusiana na Utekelezaji wa Sheria ya Madini ya mwaka 2010 na Mining Policy ya 2009 kwa wachimbaji wadogo.
Ahsante